tag:blogger.com,1999:blog-5069281553831493184.post4313893314884630710..comments2023-10-11T08:10:46.410-07:00Comments on TUJIAJIRI NON-GOVERNMENT ORGANIZATION (TNGO TANZANIA) : ABOUT INTRODUCTION OF ORGANIZATIONAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/02358506077992244445noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5069281553831493184.post-10049693865032783472014-11-10T12:14:18.939-08:002014-11-10T12:14:18.939-08:00Dhumuni ya shirika hili ni kuwajengea uwezo vijana...Dhumuni ya shirika hili ni kuwajengea uwezo vijana wa kitanzania uwezo wa matumizi rafiki ya lasilimari zilizopo katika nchi yetu ya Tanzania kwa kutoa Elimu mtambuka katika nyanja za kimaendeleo ikiwemo, Kilimo , ufugaji ,ujasiliamali ,Utuzaji wa mazingira , Afya ya jamii ,kusaidia watoto wanao ishi katika mazingira magumu kuweza kupata elimu bora, na kuhakikisha fikra za vijana wengi kusubiri kuajiliwa zinatoweka na kuanza kujiajiri wenyewe na kwa kujiunga katika vikundi ili kuweza kufikiwa na fursa mbali mbali zikiwemo ruzuku kutoka serikalini na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali katika pembejeo na mafunzo mbali mbali ili kuweza kufikia dira ya shirika kupunguza umaskini nchini Tanzania. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/02358506077992244445noreply@blogger.com